Saturday, August 13, 2016

Ligi kuu ya Soka ya Ubelgiji (Pro League) inaendelea wikiendi hii ambapo leo zitapigwa mechi mechi nne na kesho saba.
Mchezo wenye mvuto kwa mashabiki wa soka Afrika Mashariki na kati ni ule unaoikutanisha timu anayocheza nahodha wa timu ya Taifa ya kandanda ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, Genk na Waasland-Beveren.
Mechi hiyo itaanza majira ya saa 3:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Genk wataingia uwanjani wakiwa na maumivu ya kufungwa 1-0 mwishoni mwa Juma lililopita dhidi ya Gent na bao hilo pekee lilifungwa dakika ya 90 na Jeremy Perbet.

Hapa chini nimekuwekea Ratiba ya Wikiendi hii na msimamo kabla ya mechi za leo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video