Sunday, August 14, 2016

Ligi kuu Soka ya England inaendelea tena leo kwa mechi mbili kuchezwa, macho na masikio ya mashabiki yatakuwa uwanja wa Emirates ambako Arsenal watakuwa dimbani kuchuana na Majogoo wa Jiji Liverpool.
Mtanange huo unaotarajiwa kuwa wa nguvu utaanza majira ya saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Itakuwa vita ya mapema kabisa kati ya makocha Arsene Wenger wa Arsenal na Jurgen Klopp wa Liverpool.
Mchezo mwingine wa mapema utaanza saa 9:30 Alasiri kwa saa za Afrika Mashariki, AFC Bournemouth watakuwa nyumbani kwao wakiwakaribisha Manchester United.
Kocha Jose Mourinho anaanza safari ya kutafuta ubingwa akiwa na mashetani Wekundu.
RATIBA HII HAPA CHINI:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video