NYOTA wa timu ya Taifa ya Soka ya Ufaransa tangu wapoteze fainali ya Kombe la Mataifa ya Ulaya, Julai 10 mwaka huu dhidi ya Ureno wakifungwa 1-0, wameungana kwa mara ya kwanza katika kituo maarufu cha mazoezi cha Clairefontaine kujifua na timu hiyo .
Stori kubwa ya wachezaji hao ni muonekana wao wa pamba walizotupia, ni za bei mbaya.
Dimitri Payet, Olivier Giroud, Paul Pogba na Anthony Martial walitupia pamba za kipekee, lakini Pogba ambaye ndiye mchezaji ghali zaidi kwasasa Duniani ameendelea kuwa kwenye mtindo wa kipeke yake.
Cheki picha hapo chini:
Dimitri Payet
Olivier Giroud
Paul Pogba
Anthony Martial
Raphael Varane
Moussa Sissoko
0 comments:
Post a Comment