Tuesday, August 30, 2016

Arsenal wametangaza kumsajili beki wa kati wa Valencia Shkodran Mustafi kwa ada ya uhamisho ambayo haijawekwa wazi.

Mapema baada ya mchezo wa ligi dhidi ya Watford ambapo Arsenal walishinda mabao 3-1, kocha Arsene Wenger alithibitisha kukamilisha usajili wa beki huyo mwenye umri wa miaka 24.

"Yupo katika umri sahihi. Ana uzoefu mkubwa," Wenger aliiambia tovuti ya Arsenal. "Ni mchezaji ambaye anajua nini anapaswa kufanya na kwa wakati gani anayejua kuchezea mpira pia."

"Tumepata mchezaji mzuri sana lakini mwenye matarajio ya muda mrefu."

Hii inakuwa mara ya pili kwa Mustafi kurejea Premier League baada ya hapo awali kuichezea Everton ambapo hakupata nafasi nzuri kabla ya kuelekea Sampdoria na baadaye Valencia na kupata mafanikio makubwa mpaka kusajiliwa na Arsenal.

Huyu anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Arsena




0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video