Tuesday, August 9, 2016

Manchester City wamethibitisha kumsajili beki wa kati kutoka Everton John Stones kwa mkataba wa miaka sita 
Pep Guardiola alimuelezea Stones (22) kama moja ya wachezaji ambao angependa kufanya naye kazi.
Inaripotiwa kwamba, mchezaji huyo wa kimataifa wa England amekuwa beki ghali zaidi katika historia ya mabeki wa England amejiunga na City kwa ada inayokadiriwa kuwa paundi mil 47.5.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video