Tuesday, August 30, 2016

Arsenal wamekamilisha usajili wa mshambulizi wao mpya Lucas Perez  kutoka klabu ya Deportivo La Coruna.

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger Jumamosi alithibitisha kwamba Perez (27) pamoja na beki kutoka Valencia Shkodran Mustafi walikuwa wamefikia maridhiano binafsi, huku akiahidi kuwatabulisha leo.

Hata hivyo, Washika Bunduki hao hawafafanua ni kiasi gani hasa wametumia kumsajili na wamempa mkataba wa muda gani licha ya kuarifiwa kwamba amenunuliwa kwa ada ya paundi mil 17.

Kabla ya kujiunga na Arsenal, Perez amewahi kucheza kunako klabu za Rayo Vallecano, Karpaty Lviv, PAOK na Deportivo.

Nyota huyo ambaye anasifika kwa kwa uwezo wake mkubwa uwanjani pamoja na kasi, msimu uliopita alifunga mabao 17 kwenye michezo ya ligi 36 na kutoa assists 10.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video