Sunday, August 21, 2016

 Young Africans baada ya kufika katika Jiji la Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameendelea na mazoezi jioni ya leo katika uwanja wa Stade de TP Mazembe uwanja unaomilikiwa na wenyeji wao . 
Taarifa iliyo-postiwa kwenye Ukurasa rasmi wa klabu hiyo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook inasema, Vijana wameonesha ari kubwa mazoezini kujiandaa na mchezo wao hapo jumanne dhidi ya TP Mazembe . 
Akizungumza na kurugenzi ya habari ya klabu , nahodha msaidizi wa timu hiyo ambaye amekabidhiwa mikoba na Nadir Haroub aliyebaki nyumbani kwa majeraha, Vicent Bossou ameahidi kuwaongoza vyema wenzake uwanjani kushinda mchezo huo ili kulinda heshima ya klabu. 
Kesho pia klabu itafanya mazoezi kwenye uwanja huo asubuhi na jioni kabla ya mchezo wao Jumanne saa 8:50 mchana.
Pichani chini ni wachezaji wa Young Africans wakiwa mazoezini katika uwanja wa TP Mazembe jioni ya leo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video