Mwezi December 2015 – Ligi kuu England ikielekea kusalia nusu msimu, Mtangazaji wa Show ya BBC ya Match of the Day, Gary Lineker alitoa ahadi ya kutangaza msimu mpya wa kipindi hicho akivalia chupi endapo Leicester City wataibuka mabingwa.
Kama utani vile, Mwezi Mei mwaka huu Leicester wakachukua ubingwa wa EPL, Dunia nzima ilikuwa inasubiri msimu mpya wa show ya kwanza ya Match of the Day'.
Sasa Lineker jana alianza show akiwa amevaa bukta na sio Chupi, angalia Tweets za watu mbalimbali wakitoa maoni juu ya kitendo hicho cha kihistoria alichofanya Lineker.
0 comments:
Post a Comment