Taarifa zilizoifikia MPENJA SPORTS muda mfupi uliopita zinaeleza kwamba dirisha la usajili limefunguliwa na FIFA TMS kwa saa 48 hivyo litakuwa wazi mpaka kesho Jumapili saa 6 usiku.
Klabu zilizochelewa kuwasilisha usajili ikiwemo Yanga na Coastal Union zinatakiwa kuwasiliana na meneja wa TMS, Jonas Kiwia.kwa maelezo zaidi.
Taarifa kama inakujia......
0 comments:
Post a Comment