Bokungu (kulia) siku aliyosaini Simba |
Simba imefikia maamuzi hayo na sasa nafasi yake inazibwa na Malika Ndeule ambaye rasmi amesaini Simba akitokea Mwadui FC na tayari jina lake lilishawasilishwa TFF kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano Tanzania bara.
Hata hivyo imefahamika kwamba kuna mchezaji mmoja kutoka Zambia anayekuja kufanya majaribo ili kuziba nafasi ya Bokungu.
Taarifa zaidi inakujia....
0 comments:
Post a Comment