Friday, August 5, 2016

Brazil ikiwa chini ya Neymar imeshindwa kuibuka na ushindi kwenye ufunguzi wa Michuano ya Olympic inayofanyika nyumbani  kwao.
Katika mchezo huo ulikokuwa mkali na wa kusisimua, timu zote zilishambuliana kwa kasi na kwa zamu licha kwamba Brazil walikosa nafasi nyingi zaidi.
BRAZIL (4-3-3): Weverton; Zeca, Marquinhos, Caio, Douglas Santos (William 84); Felipe Anderson (Luan 60), Renato Augusto (Rafinha 67), Thiago Maia; Neymar, Gabriel Jesus, Gabriel
Kadi za njano: Thiago Maia 73, Marquinhos 90+3
SOUTH AFRICA (4-2-3-1): Khune; Mobara, Mathoho, Coetzee, Mekoa; Motupa, Mvala; Modiba (Ntshangase 70), Masuku (Morris 58), Dolly; Mothiba
Kadi za njano: Mvala 56, Mathoho 90
Nyekundu: Mvala 59
Mwamuzi: Antonio Mateu Lahoz

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video