Tuesday, August 9, 2016

Bondia wa Namibia Jonas Junias

Bondia wa Namibia ambae anashiriki michezo ya olimpiki huko Rio nchini Brazil, amekamatwa kwa tuhuma za kesi ya ubakaji. 
Jonas Junias ambae alibeba bendera ya Namibia siku ya ufunguzi wa michezo hiyo amepelekwa katika moja ya megereza makubwa huko mjini Rio.
BBC wameripoiti kuwa, Polisi wa Brazil wanasema alimbusu mhudumu wa chumba kwa lazima katika kambi ya wanamichezo na alimuahidi kumpa pesa kama atakubali kufanya nae mapenzi. 
Bondia wa Morocco Hassan Sada nae alikamatwa Ijumaa iliyopita, lakini alikanusha tuhuma hizo lakini bado yupo chini ya usimamizi wa polisi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video