Friday, August 12, 2016

Juhudi za dhati za nahodha John Raphael Bocco ‘Adebayor’ zimeinusuru Azam kupokea kichapo baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Wakusanya Ushuru wa Uganda URA, mchezo uliopigwa usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.
URA ndio walikuwa wa kwanza kupata bao mapema tu 46 kwa kichwa kupitia kwa Labama Bakota kufuatia kazi nzuri iliyofanywa na Shafiq Kagimu.
Bocco ambaye aliingia kipindi cha pili, aliifungia Azam FC bao la kusawazisha dakika ya 73 kwa penalti baada ya Mzimbabwe anayekipiga kwa majaribio, Francesco Zekumbawire kuchezewa rafu na Julius Ntambi ndani ya eneo la hatari.
URA wataendelea na ziara yao ya kucheza mechi za kirafiki ambapo, Jumapili wanatarajiwa kucheza na Simba SC, mchezo utaofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video