Wednesday, August 31, 2016

Hatimaye Liverpool na Mario Balotelli wameamua kumalizana na kila mtu ashike njia yake baada ya straika huyo kusajiliwa na klabu ya Nice ya nchini Ufaransa kwa uhamisho huru.

Mkataba wa Baloteli (26) ulikuwa unamalizika msimu ujao, lakini Liverpool waliamua kulazimisha uhamisho huo ili kuondokana na mtukutu huyo wa Kiitaliano.

Awali kabisa Nice walimhitaji kwa mkopo wa msimu mzima lakini baadaye wakaridhia kumchukua moja kwa moja.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video