Saturday, August 20, 2016

Azam leo wamenusurika kupoteza mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon, baada ya kusawazisha bao katika dakika za mwisho lililofungwa na nahodha wao John Raphael Bocco dakika ya 93, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
African Lyon ndiyo walikuwa wa kwanza kuandika bao mnamo dakika ya 46 lililofungwa na Mganda Hood Abdul Mayanja kufuatia kuchonga kona safi iliyoingia moja kwa moja wavuni na kumshinda kipa Aishi Manula.
Mpira uliendea kuwa na kasi ya aina yake muda wote wa mchezo na ndipo John Bocco alipofunga bao hilo baada ya kumalizia pasi nzuri kabisa kutoka kwa kiungo fundi Salum Abubakar ‘Sure Boy’.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video