Mlinda mlango wa Yanga Ali Mustapha 'Barthez' akijifua mazoezini na wachezaji wenzake ambao hucheza nafasi za ndani. Inawezekana hayo ni mazoezi maalum kwaajili ya kumweka fiti mlinda lango huyo baada ya muda mrefu kutoonekana langoni kufuatiwa nafasi yake kuwa finyu mbele ya Deogratius Munishi 'Dida'. Yanga wanajindaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MO Bejaia utakaochezwa Julai 13 mwaka huu.
Wednesday, August 3, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment