Saturday, August 6, 2016

Rais wa Simba, Evans Aveva (kushoto) akimkabidhi Laudit Mavugo (kulia) jezi ya Simba baada ya kusaini
Beki wa kimataifa wa Zimbabwe Method Mwanjale amesajiliwa na timu ya Simba SC. Leo M/kiti wa Simba Evans Aveva amekamilisha usajili wa wachezaji 5 wa kimataifa huku Jumatatu watatambulishwa kwenye Simba Day. 

Fredrick Blagnon kutoka Ivory Coast  (katikati) akisaini Mkataba wa Simba SC. Kulia Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi, Collin Frisch na kushoto Rais wa klabu, Evans Aveva
 Simba imekamilisha uhamisho wa Mussa Ndusha mchezaji wa kimataifa kutoka Congo.
 Simba leo imekamilisha usajili wa mchezaji wa zamani wa TP Mazembe Jonvier Bokungu.

Baada ya kuachiwa kwa dhamana, Rais wa Simba Sc Evans Elieza Aveva Jjana jioni aliwasainisha mikataba wachezaji watano wa kigeni ambao ni mabeki Janvier Besala Bokungu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Method Mwanjali kutoka Zimbabwe, kiungo Mussa Ndusha kutoka DRC  na washambuliaji Frederick Blagnon kutoka Ivory Coast na Laudit Mavugo wa Burundi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video