Wednesday, August 17, 2016

Torres afungua mdomo kuhusu usajili wake kutoka Liverpool kwenda Chelsea.

Sasa akiwa mchezaji wa Atletico Madrid, Fernando Torres mwenye umri wa miaka 32, hatimaye amefichua utata wa uhamisho wake uliofanywa kutoka Chelsea kwenda Liverpool mwaka 2011 kwa dau la paundi milioni 50.

Nyota huyo wa kimataifa wa Hispania amekaririwa katika kitabu kipya cha Simon Hughes kiitwacho “Ring of Fire: Liverpool FC into the 21st Century – the players’ stories”.

Liverpool bado haishindanii ubingwa:

Torres anaamini kusuasua kwa Liverpool tangu aondoke kunadhihirisha alifanya maamuzi sahihi na angeendelea kubakia Anfield bado angekuwa hajashinda taji la ligi ya Mabingwa Ulaya.
"Comolli aliniambia kwamba wamiliki wapya (FSG) wana mawazo yao juu ya namna ya kutumia uwekezaji wao," Amesema Torres.
"Walitaka kuleta wachezaji vijana, kujenga kitu kipya. Nilijiwazia mwenyewe, hii itachukua muda kuzaa matunda. Inachukua miaka miwili, mitatu, minne na pengine hadi 10.
"Sikuwa na muda huo. Nilikuwa na miaka 27. Sikuwa na muda wa kusubiri. Nilitaka kushinda. Imepita  miaka mitano na bado wanajaribu kujenga timu wakiwa kwenye nafasi ile ile katika msimamo wa ligi ambayo niliwaacha nayo".
"Nilichukuliwa kama vile ni msaliti," Amesema Torres. " Sikuwa namna hiyo.
"Liverpool hawawezi kukiri kwamba walikuwa wanafanya makosa na timu nzima. Wanatakiwa kumtafuta mwenye hatia na hilo"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video