Monday, August 8, 2016

Beki wa Arsenal Gabriel Paulista ameumia vibaya sana jana kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Manchester City.
Kuumia huko kunaongeza idadi ya majeruhi katika safu ya ulinzi, ambapo kwa sasa Per Metersacker, Laurent Koscielny na Karl Jenkinson.
Hilo ni pigo kubwa sana kwa Arsenal, kwani hali hiyo itawapa wakati mgumu sana kuelekea kuanza msimu mpya wa ligi ambao unaonekana kuwa na changamoto kubwa sana.
Hata hivyo bado haijathibitishwa, kwamba Gabriel ameumia kiasi gani na vilevile atakaa nje kwa muda gani.



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video