Tuesday, August 16, 2016

-Ni kulaani taarifa iliyotolewa na Akilimali kwenye vyombo vya habari.
-Niongozi wa matawi wamemtaka Katibu Mkuu kumfuta mara moja akilimali uanachama.
-Vile vile katiba ya yanga hailitambui Baraza la Wazee katiba inatambua Baraza la Wadhamini, hivyo basi viongozi wamemuomba Katibu Mkuu kuvuvunja hilo baraza sababu halitambuliki na katiba ya yanga alafu wazee wote warudishwe kwenye matawi wawe wanachama wa kawaida.
-Mwanachama yoyote atakayeongea na media bila kibali cha uongozi wa yanga basi atakuwa amejifuta uanachama.

▪ Mzee Akilimali anafutiwa uanachama japo anaomba msamaha. . Dar imekuwa Chungu kwake.
▪ Hadi sasa bila shaka Yusuf Manji anarejea katika wadhifa wake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video