Wachezaji wa Azam FC, wakiwa mazoezini tayari kabisa kuanza patashika ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kesho Jumamosi saa 1.00 usiku, wakianza kufungua dimba dhidi ya African Lyon, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex saa moja za usiku, Chamazi, Dar es Salaam.
Friday, August 19, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment