Kikosi cha Azam FC kilipofanya mazoezi ya kwanza wikii hii leo asubuhi kabla ya kuvaana na Majimaji kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumamosi ijayo (Agosti 27, 2016).
Picha kwa hisani azamfc.co.tz
0 comments:
Post a Comment