Wachezaji wa Azam kutoka kushoto ni Abubakar Salum (Sure Boy), Hamisi Mcha (katikati) na Himid Mao wakiwania mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo Chamazi leo. Azam wanajifua vikali kwa ajili ya maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa Ligi ya Kuu Tanzania Bara msimu wa 2016-17.
Wednesday, August 10, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment