LIGI kuu Soka Tanzania bara inaanza kutimua vumbi leo kwa mechi tano kuchezwa ambapo michezo inayopewa uzito wa Juu ni kati ya Simba SC na Ndanda FC Uwanja wa Taifa Dar es salaam na Azam FC dhidi ya Afrika Lyon.
Mechi ya Simba SC itaanza saa 10:00 jioni wakati ya Azam FC itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni.
Azam TV imethibitisha kurusha Live mechi zifuatazo hapo chini:
0 comments:
Post a Comment