Sunday, August 7, 2016

Bosi wa Arsenal Arsene Wenger anaamini kwamba straika wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic anaweza kupata wakati mgumu sana kwenye Ligi ya England kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Ibrahimovic ambaye alifunga mabao 50 katika mashindano yote msimu uliopita akiwa na Paris Saint-Germain ya nchini Ufaransa, msimu huu atakuwa na kibarua cha kuipa United ambayo alijiunga nayo bila ada yoyote.

Lakini Wenger haamini kama Msweden huyo ambaye anafikisha miaka 35 mwezi Oktoba, atafanya maajabu kunako ligi ya Englanda

"Kiukweli sijui kama ataweza kufanya mambo makubwa ambayo alifanya siku za nyuma," Wenger alinukuliwa na tovuti ya Arsenal

"Ni kweli ana ubora, kipaji na vile vile ni mtu mwenye tamaa na kufanya vyema. Lakini kitu kinachoweza kuleta changamoto kwake ni kijana tena, sasa ni suala la kumtazama kwenye kila mchezo.

"Nilichokiona kwake mwaka jana kwenye timu ya Paris Saint-Germain, alikuwa na msimu mzuri kwa maana ya kiwango chake binafsi na mchango wake katika timu. 

Kwa maana ya kuipa morali timu, ataleta kitu tofautikunako klabu ya Manchester United. Ni mtu mwenye tamaa na ushindi muda wote na ana hulka hiyo, hivyo ataongeza ubora kwenye timu kwa kiasi kikubwa kutokana na uwezo wake binafsi alionao."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video