Tuesday, July 19, 2016

Ujio wa Zlatan Ibrahimovic unaonekana kuanza kumshtua gwiji wa soka na nguli wa klabu ya Manchester United Eric Cantona.
Eric Cantona amesema kwamba Zlatan ama hakika amefika sehemu ambayo sasa ni sahihi kwake baada ya kuhangaika katika vilabu tofauti-tofauti.
Katika mahojiano yake na kituo cha Eurosport, Cantona ametuma ujumbe kwa Zlatan na kusema: “Kuna mfalme mmoja tu kunako klabu ya Manchester. Wewe unaweza kuwa mtoto wa mfalme.”

Zlatan Ibrahimovic amjibu Cantona
Gazeti maarufu la nchini Sweden la Aftonbladet limemnukuu Zlatanwakati walipomfanyia mahojiano baada ya kauli hiyo ya Cantona.
Ama hakika kama unataka majibu ya kejeli basi kwa Zlatan ndio nyumbani kwake, amemjibu Cantona kwa kusema hivi:
Namkubali sana Cantona. Na nimesikia alichosema. Lakini mimi siendi pale kuwa mfalme wa Manchester. Nitakuwa Mungu wa Manchester.
Zlatan anatarajiwa kuanza mazoezi rasmi wiki hii.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video