Mdhamini mpya wa club ya Yanga Quality Group Limited yuko mbioni kuikabidhi club Basi Jipya pamoja na Ndege ili kuirahisishia timu safari za nje na ndani ya nchi ktk kusaka Mafanikio ya kisoka kwa club yetu.
Hii imekuja baada ya Yanga kumaliza mkataba na Mdhamini wa zamani Ambaye ni kampuni ya Bia TBL kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro.Quality Group Limited ni Kampuni iliyopo chini ya Mwenyekiti wa Yanga Bw YUSUPH MANJI.
0 comments:
Post a Comment