Sunday, July 17, 2016

Yanga na TFF ama hakika hawapikiki chungu kimoja. Katika mchezo wa awali dhidi ya TP Mazembe kulizuka tafrani kubwa juu ya haki za ya urushaji matangazo ambapo Azam walipewa fursa hiyo huku Yanga wakionekana kuweka kikwazo kabla ya kusalimu amri baadaye na kuamua kuondoa kiingilia ili mashabiki wao waingie bure.
Jana tena sintofahamu nyingine kati yao na TFF baada ya mchezo wao dhidi ya Medeama. Ishu iko hivi:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video