Friday, July 15, 2016

Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi yao siku ya mwisho leo kujiandaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana utakaochezwa kesho Jumamosi Uwanja wa Taifa jiji Dar es Salaam saa 10 kamili jioni.
Mchezo wa kesho ni muhimu sana kwa Yanga kwani wanapaswa kshinda kwa namna yoyote kutokana na kushikilia nafasi ya mwisho kwenye kundi lao nyuma ya TP Mazembe wenye pointi sita, MO Bejaia yenye pointi nne na Medeama ambao wana pointi moja.
Mchezo mwingine wa kundi hilo utachezwa mjini Bejaia nchini Algeria ambapo MO Bejaia watakaribisha Wakongomani TP Mazembe ambao ndio vinara wa kundi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video