Tuesday, July 12, 2016


Tukio jingine la kusisimua ukichana na Ronaldo ku-act kama kocha msaidizi wa Ureno ni lile la kocha wa zamani wa Man United Sir Alex Ferguson kumsubiri kwa hamu Ronaldo baada ya kutwaa ubingwa.
Ikumbukwe tu Ferguson ndiye aliyemleta Ronaldo United akitokea kunako klabu ya Sporting Lisbon.

Video ya Ferguson akimkumbatia kwa furaha Ronaldo wakati wakienda kukabidhiwa medani na Kombe lao.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video