Beki wa kulia wa Azama Shomari Kapombe akiwa kwenye muonekano mpya baada ya kunenepa kufuatia kukaa nje kwa miezi kadhaa kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya Pulmonary Embolism (donge la damu kuziba mishipa ya damu katika mapafu). Kapombe alianza rasmi mazoezi jana.
Akianza mazoezi huku akifanyiwa kwa utaratibu maalum na mtaalam wa mazoezi ya viungo.
0 comments:
Post a Comment