Nahodha wa zamani wa Arsenal na kocha msaidizi wa Manchester City Mikel Arteta akishauriana na wenzake wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Manchester City na Bayern Munich jana uliopigwa kunako dimba la Allianz Arena. Bayern walishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Erdal Ozturk dakika ya 76.
Thursday, July 21, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment