UMEISIKIA HII YA WACHEZAJI WA YANGA KUKATAZWA KUPANDA BODABODA Uongozi wa klabu ya Yanga umewapiga marufuku wachezaji wao kutumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda. Hii inatokana na matukio tofauti ya ajali yanayohusishwa na usafiri huo.Wachezaji wameonekana kutii agizo hilo.
0 comments:
Post a Comment