Thursday, July 21, 2016

Arsenal wapo kwenye mikakati ya kumnasa mshambulizi Mauro Icardi kutoka Inter Milan.
Inaonekana kwamba kuna uwezekano wa wa 100% wa dili hilo kufanikiwa kufuatia mke wa mshambulizi huyo Wanda Nara ambaye pia ni wakala wake kutoa update kwenye moja ya mitandao ya kijamii.
Gazeti la kila siku la nchini Italy la Corriere dello Sport limeongozwa na habari hiyo katika ukurasa wake wa mbele huku likidai kwamba leo Arsenal watakuwa na mazungumzo na Wanda Nara jijini London kwa ajili ya kukamilisha dili hilo.
Inasemekana kwamba Arsenal wako tayari kumpa mshahara wa paundi milioni 6 kwa mwaka jumlisha na marupurupu.
Kwenye suala la ada ya uhamisho, inaelezwa kwamba Arsenal watatoa kiasi cha kati ya euro mil 45 mpaka 50

Wanda Nara a-tweet
Wanda Nara ni mjuzi sana wa kutumia mitandao ya kijamii.
Jana Jumatano, aliposti Tweet rahisi tu na kuandika ‘Happy day my friends’ (Siku njema marafiki zangu).
Taarifa za ndani zinaeleza kwamba Wanda Nara kwa sasa yupo jijini London.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video