Klabu ya Mbeya City kupitia account yake rasmi ya Instagram, imethibitisha kumsajili Rajab Zahir kutoka mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC.
Kikosi hicho cha Kinnah Phiri hakijaweka wazi usajili wa Zahir ni wa mkataba wa wa muda gani wala kiasi walichotumia katika uhamisho wa kuinasa saini ya mchezaji huyo.
Rajabu Zahir alishindwa kutamba kwenye klabu ya Yanga kutokana na kushindwa kupata nafasi ya kucheza chini ya kocha mholanzi Hans Van Pluijm.
0 comments:
Post a Comment