Sunday, July 10, 2016

Eiffel Tower umetangazwa kuwa mnara wenye thamani kubwa zaidi Ulaya, ukiwa na thamani 

Mnara wa wa 'Eiffel Tower' uliopo jijini Paris nchini Ufaransa unakadiriwa na thamani mara sita zaidi ya ule wa Colloseum uliopo Rome wenye thamani ya euro bilioni 91 (paundi bilioni 72) ambao ndiyo unafutia kwa karibu.
Thamani ya kivutio kikubwa cha Uingereza ambacho ni Mnara wa London kilitangazwa kuwa na thamani ya euro bilioni 70.5 (paundi bilioni 56), huku wa Stonehenge ukishika nafasi ya saba ukiwa na thamani ya euro bilioni 10.5 (paundi bilioni 8.3).

Majibu ya tafiti zilizofanywa na Taasisi za Kibiashara za Monza na Brianza za nchini Italy juu ya uzuri wa muonekano na umaarufu ulitokana na kuangalia vigezo vyote kati ya minara 10 tofauti iliyofanyiwa uchambuzi na takwimu za kina na mashirika mbalimbali

Kigezo kilichozingatiwa ni pamoja na kielelezo cha wingi wa watalii, thamani ya kiuchumi kwenye eneo husika, umaarufu wa mnara husika, wingi wa ujio wa wageni kwenye mnara au eneo husika na vile vile namna unavyovutia kiuchumi, kwa vigezo kama vile idadi ya ajira zinazotengenezwa. Mnara wa huu wa Eiffel unakadiriwa kuwa na urefu wa futi 1,050, unashika nafasi ya tano kwa kuingiza pato la taifa nchini Ufaransa.

Material na thamani ya mali hazijajumuishwa kwenye takwimu hizo
Vivutio vingine vya Ulaya ambavyo viko kwenye orodha ni pamoja na Duomo cathedral iliyopo Milan yenye thamani ya paundi bilioni 65, Museum ya Padro iliyopo Madrid yenye thamani ya paundi bilioni 46.
Vyombo vya habari vya nchini Italy vilikasirishwa sana na taarifa kwamba Mnara wa Paris ulisemekana kuwa na zaidi ya mara ya thamani ya mapato yanayopatikana kunako jiji zima la Milan
Il giornale website asked: “Is the Eiffel Tower really worth that much? And above all, are we sure it’s worth more than the Colusseum and Duomo combined?
Tovuti ya Il giornale iliuliza: "Hivi ni kweli Mnara wa Eiffel una thamani kubwa kiasi hicho. Na zaidi ya yote kuna uhakika kweli kwamba una thamani kubwa zaidi ya Colusseum na Duomo ikichanganywa kwa pamoja?
"Kama jibu ni hapana, je kuna hitimisho lolote kwamba hapa nchini Italy hatujui hatuwezi kuvikuza vivutio vyetu na kuvipa thamani kubwa."
The country's Panorama news magazine was equally hand-wringing: “Is this is a surprising, outrageous and incredible assessment? Not really. It forces us to face the harsh reality of a country that has lost its memory.”
Jarida la habari la Panorama pia lilikuwa na swali juu ya hilo: "Je, tathmini hii ni ya kushangaza na kushtua? Sidhani kama ni kweli. Inatulazimisha kukumbuana na uhalisia usio na tija wa nchi kupoteza kumbukumbu yake.
Ukiwa umejengwa mwaka 1889, Eiffel Tower ni mnara ambao unaongoza kwa kutembelewa zaidi Ulaya, huvutia takriban watalii milioni nane kwa mwaka.
Listi yote hii hapa:
1. Eiffel Tower, Paris: paundi bilioni 343 
2. Colloseum, Rome: paundi bilioni 72 
3. Sagrade Familia Cathedral, Barcelona: paundi bilioni 71
4. Duomo Cathedral, Milan: paundi bilioni 65
5. Tower of London: paundi bilioni 56
6. Prado Museum, Madrid: paundi bilioni 46.
7. Stonehenge, UK: paundi bilioni 8.3.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video