Uongozi wa klabu ya Simba pamoja na wanachama na mashabiki wamekiaga kikosi cha Simba tayari kwenda kuanza mazoezi katika camp itakayowekwa mkoani Morogoro kujiandaa na kuanza kwa msimu mpya wa ligi Kuu.
Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiondoka baada ya kupata dua
Shiza Kichuya akiwa na mwenziwe
Wachezaji wa Simba wakiombewa dua
Rais wa Simba Evans Aveva.
Kocha masaidizi wa Simba Jackson Mayanja akisalimiana na wanachama na mashabiki wa timu hiyo.
0 comments:
Post a Comment