Saturday, July 23, 2016

Taarifa rasmi: Simba Sc Leo haijacheza mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji Burkina Faso katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kama inavyovumishwa na baadhi ya watu usiku huu.
Kocha wa Burkina Faso amezungumza na MPENJA SPORTS! akisema huenda wakacheza na Simba Sc Jumamosi ya Juma lijalo, huku akishangazwa na Habari zinazoenea kwamba wamecheza na Mnyama Simba.
Pia Simba wamethibitisha hawajaanza mechi mpaka sasa, mpaka kufikia Jumanne ya wiki Ijayo wanaweza kuanza mipango ya michezo ya kirafiki.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video