Sunday, July 31, 2016

Nyota ya mshambuliaji nyota wa Tanzania Mbwana  Samatta imezidi kung'aa baada ya kuifungia timu yake ya Genk bao la ushindi katika mchezo wa Kuu ya Ubelgiji dhidi ya Oostende, mchezo ambao Genk wameshinda mabao 2-1.
Katika mchezo huo uliofanyika katika dimba la Cristal Arena, Genk ndio walikuwa wa kwanza kuandika bao mnamo dakika ya 50 kupitia kwa Nikos Karelis.
Mchezo uliendelea kuwa mgumu ambapo mnamo dakika ya 90, Mbwana Samatta aliiandikia Genk bao la pili na kuwapa uhakika wa ushindi Genk.
Oostende walikuja juu dakika hiyo hiyo ya tisini baada ya kupata bao la kufutia machozi kupitia kwa  Knowledge Musona.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video