Sunday, July 10, 2016

Mchezaji kinda wa Ureno Renato Sanches amekuwa akiandamwa sana na kashfa juu ya usahihi wa umri wake.
Sanches amekuwa kwenye kiwango bora mno kwenye michuano hii na kufanikiwa kutoa mchango mkubwa mpaka timu yake kufika fainali.
Umri wa Sanches umekuwa mjadala mkubwa kutokana na watu wengu kutilia shaka uwezo wake na umbo lake kutoendana na umri wake.

Gazeti la Diário de Notícias imetoa chati cha kuzaliwa cha Renato Sanches
Jumatatu, gazeti la Diário de Notícias la nchini Ureno waliamua kutoa cheti cha kuzaliwa cha Renato Sanches’ na kukata kabisa mzizi wa fitina
Renato Sanches kwa hakika ana umri wa miaka 18, na amezaliwa Agosti 18, 1997.
Cheti hicho cha kuzaliwa kimetolewa na Hospitali ya Amadora-Sintra.

Hiki hapa cheti cha kuzaliwa cha Sanches

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video