Kiungo wa Juventus Paul Pogba jana Ijumaa aliamua kuandka maneno kuonesha kumkubali sana Mesut Ozil.
Mfaransa huyo mwenye miaka 23 alishea picha yake kwenye mtandao wa akiwa na Ozil baada ya mchezo wao na Ujerumani ambapo walishinda mabao 2-0.
Angalia alichokiandika hapa Pogba
0 comments:
Post a Comment