Amiss jocelyn Tambwe alikuwa amelazwa kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa malaria.
Ameanza mazoezi mepesi leo na kesho atajiunga na wenziwe katika maandalizi kuwavaa Medeama SC.
Mfungaji bora huyu wa ligi msimu uliopita alitundikwa drip 6 na sasa yupo tayari kwa ajili ya mapambano mapya kuelekea mchezo huo utakapoigwa Jumamosi.
0 comments:
Post a Comment