Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Paul Nonga akisaini mkataba wa kuitumikia Mwadui FC baada ya kuomba kuondoka klabuni hapo. Bado haijawekwa wazi Nongwa amevuta kitita cha shilingi ngapi na amesaini mkataba wa miaka mingapi.
Friday, July 15, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment