PICHA:MARTIAL HATAKI MCHEZO KABISA, AJIFUA KUFA MTU KABLA YA KUREJEA ENGLAND KUUNGANA NA WENZAKE Mshambuliaji wa Man United Anthony Martial akipasha maeneo ya ufukweni nchini kwao Ufaransa kujiwela fiti kabla ya kurejea England kuungana na wenzake tayari kwa maandalizi ya msimu mpya. Martial akiendelea kufanya yake.
0 comments:
Post a Comment