
Usajili mpya Joel Matip (wa pili kulia) naSadio Mane (katikati) wakijifua kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya

Meneja wa Liverpool Jugen Klopp akifurahia jambo na jopo lake

Kipa mpya Loris Karius (katikati) akianza maisha mapya

Mario Balotelli (kulia) akitaniana na beki Dejan Lovren wakati wakijifua

Mane (mbele) na Matip (nyuma) wakijifua vilivyo kwa ajili ya msimu mpya kwenye uwanja wa mazoezi wa Melwood.
RATIBA YA LIVERPOOL PRE-SEASON
TRANMERE ROVERS (A) - July 8
FLEETWOOD TOWN (A) - July 13
WIGAN ATHLETIC (A) - July 17
HUDDERSFIELD TOWN (A) - July 20
CHELSEA (N) - July 28
AC MILAN (N) - July 31
ROMA (N) - August 2
BARCELONA (N) - August 6
MAINZ (A) August 7
0 comments:
Post a Comment