Sunday, July 10, 2016

Wachezaji wa Yanga wakisikiliza maelekezo ya makocha wao uwanjani kabla ya kuanza mazoezi mapema asubuhi kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wao wa kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Yanga kwa sasa wanashikillia mkia kwenye kundi lao wakiwa hawana alama hata moja huku kila timu ikiwa imecheza michezo miwili, Medeama wanashika nafasi ya tatu wakina na alama moja. TP Mazembe ndio vinara wakiwa wamenikusanyia alama zote sita wakata Mo Bejaia ya Algeria wakishika nafasi ya tatu kwa kujikusanyia alama nne kibindoni. 
Mchezo kati ya Yanga na Medeama utachezwa Jumamosi July 16 saa 10 kamili jioni katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video