Cesc Fabregas amerejea mazoezni baada ya mapumziko yaliyotokana na Michuano ya Euro
Juan Cuadrado Cesar Azpilicueta (kulia) wakikamua nchini Austria
Gary Cahill na Pedro wakifanya makamuzi
Antonio Conte akimpa maelekezo beki wa kushoto wa Chelsea Cesar Azpilicueta
Ruben Loftus-Cheek akifanya makamuzi mazoezini
Nyota mpya wa Chelsea Michy Batshuayi akionesha ufundi mazoezini
Nahodha wa Chelsea John Terry naye hakuwa nyuma
Fabregas akifanya mazoezi ya viungo
Mtukutu Diego Costa kama kawaida yake
0 comments:
Post a Comment