Kocha Mkuu Joseph Marius Omog akiwa maeneo ya Kariakoo kununua begi la kuwekea nguo zake jana. Kulia ni mtu anayesadikika kuwa ni mpenzi wa Yanga ambaye alimsaidia kuchagua begi bora, ambalo anaweza kuhifadhia vizuri nguo zake. Picha kwa hisani ya Naipenda Yanga
Sunday, July 10, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment