OFFICIAL: MZIMBABWE WA AZAM AFUZU MAJARIBIO Taarifa za uhakika: Bruce Kangwa aliyekuwa anafanya majaribio Azam fc akitokea Zimbabwe amepitishwa na kocha mkuu Zeben Hernandez ambaye ameuagiza uongozi kumsajili.
0 comments:
Post a Comment