Sunday, July 31, 2016

Limekuwa ni jambo la kawaida kwa wachezaji wengi wa Kitanzania kujipachika majina ya wachezaji maarufu duniani kulingana na wanavyocheza.
Klabu ya Yanga ni moja ya klabu ambazo wachezaji wake wengi wana nickname za wachezaji wa ama Ulaya au America
 Deo Munishi anavyoitwa Dida, Ally Mustafa 'Barthez' , Nadir Haroub ' Cannavaro' , Kelvin Yondani ' Vidic', Haruna Niyonzima ' Fabregas'. Sasa ni zamu ya Juma Mahadhi, nyota aliyesajiliwa kutoka klabu ya Coastal Union ya Tanga. Mwenyewe anajifananisha na Neymar wa Barcelona na Brazil huku baadhi ya mashabiki wa Yanga wamemkubali nyota huyo kuwa kandanda lake mithili ya Neymar.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video